Quick Rocka uso kwa uso na Majani kwenye party ya Kajala
By -ikwahmedia
19:00
0
Quick Rocka uso kwa uso na Majani kwenye party ya Kajala.
Ni kutoka Kwenye Birthday Party ya Mwigizaji Kajala iliyofanyika Ofisini kwake, miongoni mwa waliohudhuria EX wake Quick Rocka Quick Rocka pia.
Licha ya kuepo Quick Rocka, pia Mkongwe Majani
naye aliibuka kwa surprise na kukutana na mzazi mwenzake Kajala, kisha
baadae akapata nafasi ya kuzungumza kwenye shughuli hiyo.